Warembo wa Safari Lager wakiwa wamenyanyua juu vikombe viwili vya Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager,wakati wa kusherehekea ushindi huo na Wananchi wa Mkoani Dodoma.Shughuli hii inafanika hivi sasa katika Bar maarufu ya Chako ni Chako mjini hapa.
Mshereheshaji katika shughuli hii ni MC K Rada akionyesha moja ya kofia za zawadi kwa mtu yeyote atakaejitokeza stejini na kuanza kuonyesha umahiri wake wa kusakata rhumba
Wadau wa Dodoma wakionyesha umahiri wao wa kusakata rhumba stejini wakati wa kusherehekea ushindi wa Bia ya Safari Lager.
No comments:
Post a Comment