Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya wa miondoko ya kufokafoka,Joh Makini akifanya vitu vyake mbele ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza waliofurika kwa wingi kwenye viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo hicho,jijini Mwanza.hii ni katika Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana vikali katika Mtanange wa Mpira wa Miguu kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana
vikali katika Mpira wa Wavu (Volleyball) kwenye Uzinduzi wa Tamasha la
kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo
vya elimu ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni
pamoja na fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand
Malt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya
Chuo Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.
DJ Festo on the one n two ndani ya viwanja vya Raila Odinga
Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza.
Wadau Peter Zakaria na Victor Ndunguru wakiwakilisha ndani ya Tamasha hilo la Grand Malt.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Butallah akiteta jambo na Rais wa Serikali ya Chuo cha Mt. Augustine.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine wakifatilia michezo mbali mbali iliyokuwa ikiendelea viwanjani hapo.
Joh Makini akifanya vitu vyake mbele ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine.
Shangwe zilitawala uwanjani hapo wakati Joh Makini akifanya vitu vyake.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustino jijini Mwanza,wakishirikiana kwa pamoja kupanda miti katika eneo la Chuo hicho.
Upandaji miti huo ni sehemu ya kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with Grandmalt.
Meneja Matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ziwa,Erick Mwayela (katikati) akishirikiana kupanda Miti na Mkuu Msaidizi wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustino jini Mwanza,Kizoto Mbonde na Makamu wa Rais wa Chuo hicho,Emiline Mrosso.Upandaji miti huo ni sehemu ya kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with Grandmalt.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustino jijini Mwanza wakiburudisha koo na kinywaji cha Grand Malt mara baada ya kumaliza kupanda miti.
No comments:
Post a Comment