Meneja wa Duka la Vodacom lililoko mtaa wa Morogoro Posta Jijini Dar es Salaam, Sayed Shadab, mapema baada ya uzinduzi wa duka hilo, anayeshuhudia ni Ofisa Mkuu wa Usambazaji na mauzo wa Vodacom Tanzania, Hassan Salleh, Vodacom imezindua maduka mawili yanayotarajiwa kupunguza msongamano katika maduka mengine ya kampuni hiyo.

Ofisa
Mkuu wa Usambazaji na mauzo wa Vodacom Tanzania, Hassan Salleh, akitoa
huduma kwa wateja waliofika wakati wa uzinduzi wa duka jipya la huduma
kwa wateja lililoko katika mtaa wa India Posta jijini Dar es Salam,
Vodacom imezindua maduka mawili yanayotarajiwa kupunguza msongamano
katika maduka mengine ya kampuni hiyo.
Ofisa
Mkuu wa Usambazaji na mauzo wa Vodacom Tanzania, Hassan Salleh,
akimkabidhi funguo, Meneja Miradiwa Vodacom Tanzania, Sharon Rwekola,
mara baada ya kuzinduliwa kwa duka jipya la kampuni hiyo lililoko mtaa
wa India posta jijini dar es Salaam, Maduka hayo yanatarajiwa kupunguza
msongamano kwa wateja wa kampuni hiyo.
Ofisa
Mkuu wa Usambazaji na mauzo wa Vodacom Tanzania, Hassan Salleh, akitoa
huduma kwa wateja waliofika wakati wa uzinduzi wa duka jipya la huduma
kwa wateja lililoko katika makutano ya barabara ya morogoro Posta jijini
Dar es Salam, Vodacom imezindua maduka mawili yanayotarajiwa kupunguza
msongamano katika maduka mengine ya kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment