HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 7, 2013

UJENZI WA SOKO JIPYA LA NGIU WILAYANI MAKETE WASUASUA

UJENZI WA VIBANDA KATIKA SOKO JIPYA LA NGIU WILAYANI MAKETE UMEKUWA NI WA KUSUASUA LICHA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE KUWATAKA WAFANYABIASHARA WA SOKO HILO KUJENGA VIBANDA VYA BIASHARA MAPEMA KABLA HAWAJANYANG'ANYWA VIWANJA HIVYO NA VIPEWE WATU WENGINE.PICHA NA EDWIN MOSHI MAKETE.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad