HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 8, 2013

Tigo yawekeza kuunganisha watu wa vijijini na kuboresha huduma zake

Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma,Mh. Charles Bishuli akitaka utepe kuzindua mnara ya TIGO katika kata ya muyama wilayani Buhigwe. kulia kwake Meneja wa kanda ya ziwa Bw Joseph Mutalemwa.
Mkuu wa wilaya Buhigwe Mh Charles Bishuli akikabidhi vitabu 1,000 vya sayansi kutoka kampuni ya simu za mkononi TIGO, kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Nyaminkunga Bw Hamisi Bunoge.
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mh Charles Bishuli akihutubia wananchi wa wilaya ya Kasulu kwenye sherehe za uzinduzi wa minara, kulia kwake Meneja wa Kanda ya ziwa Bw Joseph Mutalemwa na Meneja wa Tigo wa mkoa wa Kigoma Bw Gamu Kimoro.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad