Tunaomba mtuwekee tangazo hili sasa ambalo lina watu wanaoshughulikia msiba huu.
Watanzania wanaoishi New Jersey na New York City. Wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Adolph aka Brian aka Thadeo Lwakajende kilichotokea tarehe 24 mwezi wa 4, 2011 hapa New Jersey, USA. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inaendelea huko New Jersey. Ili kufanikisha mipango hiyo wanawaomba watanzania wote popote pale walipo wajiunge nao kusaidia kuchangisha hela za shughuli hiyo. Unaweza kutuma hela kwa kutumia paypal adolffuneralcost@gmail.com au katika site hii ya Adolf sending home fund http://dt.tl/adolfsendhomecost .
Watanzania wanaoishi New Jersey na New York City. Wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Adolph aka Brian aka Thadeo Lwakajende kilichotokea tarehe 24 mwezi wa 4, 2011 hapa New Jersey, USA. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inaendelea huko New Jersey. Ili kufanikisha mipango hiyo wanawaomba watanzania wote popote pale walipo wajiunge nao kusaidia kuchangisha hela za shughuli hiyo. Unaweza kutuma hela kwa kutumia paypal adolffuneralcost@gmail.com au katika site hii ya Adolf sending home fund http://dt.tl/adolfsendhomecost
Kwa mawasiliano ya shughuli hizi wasiliana na
Peter
Luangisa (917) 681-6971
Rashidi
Kamugisha (973) 703-4596
Bernard
Kivugo (973) 580-7166
William
Vedasto (973) 551-2916
Tunatanguliza shukurani zetu za dhati.
No comments:
Post a Comment