Wanafunzi
wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali
katika Mpira wa Basketball kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya
kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza
kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo
kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya
chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Msanii wa Mziki wa kizazi kipya nchini Joh Makini akiwapagawisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Iringa kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Netball kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Basketball kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Katibu
Tawala wa wilaya ya Iringa Elvin Mwakajinga (katikati) akisaidiana
kupanda Miti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa na Meneja
wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam (kushoto) na Meneja Mauzo wa
Grandmalt mikoa ya Iringa, Njombe na Songea, Raymond Degela. Upandaji
mitio huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha
wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja
fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa wakipanda Miti
chuoni hapo, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya
kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali
ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt,
tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini
Iringa jana.












No comments:
Post a Comment