HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2013

NHIF yapeleka madaktari bingwa Kigoma, Wagonjwa wamininika

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akikabidhi vifaa na dawa zitakazotumiwa na madaktari hao kwa muda wa siku saba kwa uongozi wa Mkoa.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Ramadhan Maneno akifungua rasmi mpango wa NHIF wa madaktari Bingwa kutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Maweni.
Uongozi wa Mkoa, NHIF na madaktari bingwa wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa kuanza kazi ya kuona wagonjwa.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Leonard Subi akitoa neon la shukrani kwa NHIF kwa uamuzi wa kupeleka wataalam hospitalini kwake.
Kaimu Mkuu wa Mkoa akikabidhi vifaa hivyo kwa uongozi wa mkoa muda mfupi baada ya kupokea kutoka kwa uongozi wa NHIF.
Sehemu ya wagonjwa ambao wamejitokeza kukutana na madaktari hao ambapo uongozi wa Hospitali hiyo tayari unayo majina 250 ya wagonjwa ambao tayari wametambuliwa kukutana na madaktari hao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad