HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 10, 2013

Mvua yaleta Balaa jijini Arusha

Hali ya mvua inayonyesha kwenye mkoa wa Arusha imewaacha wakazi wa vijiji vya Alkokola na venginevyo kadhaa kwenye kata hiyo wilaya ya Arusha wakiwa hawana makazi na mahala pakukaa baada ya mvua kunyesha usiku wa kuamkia jana na Alfajiri ya leo . Pichani ni maji yakiwa yanashuka kwenye maeneo ya Ngaramtoni ya Chini na Burka huku wakazi wa maeneo hayo wakiyakimbia maeneo yao.(picha zote na mahmoud ahmad)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad