HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 17, 2013

KUMBUKUMBU

Marehemu Anthony Njeje.

Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipokwenda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa tarehe 17.04.2008.  

Baba, hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. 

Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. 

Jina la Bwana Lihimidiwe.
Amen

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad