Miti katika msitu wa VETA Makete ikiwa imekatwakatwa hali inayoshawishi kina mama ambao ni wakazi wa ameneo ya jirani na msitu huo kwenda kuokota kuni kwa ajili na kukidhi mahitaji yao majumbani.Picha zote na Edwin Moshi
Huu ni msitu wa chuo cha VETA Makete ambao umewekwa kibao cha onyo la kuzuia njia,lakini kina mama hao huenda msituni humo kuokota kuni na kupita hapa licha ya onyo hilo
Mama ambaye jina lake halikupatikana mara moja alikutwa akipita kwenye maji yaliyopoteza mwelekeo baada ya mto kufurika maji kutokana na mvua zinazonyesha wilayani Makete eneo la joshoni wilayani hapa huku akiwa naha viatu vya kuzuia maji,hali ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake.
Afadhali kidogo ya mama huyu kavaa rain boot huku mkongojo ukimsaidia kukatisha kwenye maji kuelekea kwenye daraja.
No comments:
Post a Comment