Kipini cha Nguvu barabara ya Kawawa Rodi jioni ya leo jijini Dar.
 Mkoko unapokorofisha katikati ya safari na kupelekea kufunguliwa kwa duka.
 Kiepe Vumbi kwa Mpemba.
 Miti wamekata sawa,sasa nani anasubiriwa kuja kuondoa uchafu huu??
 Abiria anachunga mzigo wake
 Dogo anatafuta rizki kwa kuosha vioo vya magari ya watu mabarabarani.
 Ujenzi wa Batabara ya Mabasi yaendayo kasi waendelea,na hapa ni Magomeni mapipa panavyoonekana sasa.
 Kinondoni Studio ya sasa.
Wanaenda kuchinjwa haooooo...
 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa imewabamba hawa jamaa na hawakuamini kuiona .hehe eheh ehehe,......
 Mikocheni TMJ Hospital.
 Faya Kariakoo hiyo,kama hujakatiza mitaa hii kitambo kidogo basi waweza kupotea. 
 Madereva wa Town hao.
 Wakisubiria usafiri kituo cha Karume jijini Dar.
 Mazalia ya Mbu first class.
 Sagula sagura soko la Karume leo.
Magimbi,Viazi na nk vyote vinapatikana Kigogo Mbuyuni.





















nimefurahi sana kuona hizi picha.
ReplyDelete