Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima (kulia) akimkabidhi “vipima ulevi” Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema (kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013..png)
.png)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema akimkabidhi “Vipima ulevi” Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania – SACP. Mohammed R. Mpinga, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP. Said Mwema akitoa hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi - IGP. Said Mwema (kulia) na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - SSP. A.J Senzo (kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima akisoma hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP. Said Mwema), Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (SACP - Mohammed R. Mpinga), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dar es Salaam (ACP – Amir Konja) na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (SSP. A.J Senzo) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi na washiriki mbalimbali wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Washiriki mbalimbali wakishuhudia makabidhiano ya “vipima ulevi” wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
Mabango elimishi ya Sumatra na la Jeshi la Polisi yaliyoonyeshwa wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (SACP - Mohammed R. Mpinga) na Viongozi mbalimbali wa Sumatra wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
No comments:
Post a Comment