HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 12, 2013

Hivi ni kwamba tumelogwa......au inakuje???

chai, chini ya jengo la Ghorofa ambalo ujenzi wake unaendelea mtaa wa Swahili, Kariakoo jijini Dar es salaam leo asubuhi. Mbali na madhara yanayoweza kuwapata kutokana na kuporomoka kwa jengo hilo kama ambavyo imetokea hivi karibuni kwa jengo moja jijini humo, wanaweza kudhurika pia kwa kuangukiwa na vitu vigumu vinavyotumika kwenye ujenzi.
Mwingine akiwa katika mazungumzo na wenzake wakati kushoto ameandaa jiko la kuchoma mahindi ya kuuza chini ya jengo hilo leo asubuhi.
Jengo lenyewe ni hili hapa. PICHA ZOTE: BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad