Wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Fastjet walitoa m saada wa vitabu vya shule, vinywaji na vyakula katika kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA,kilichopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam wakati wa kusherehekea sikukuu ya pasaka,vitu hivyo vilipokelewa na Hassan Khamis ambaye ni Katibu wa CHAKUWAMA(aliyevaa shati la buluu).
Sunday, April 7, 2013

Home
Unlabelled
fastjet yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima
fastjet yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment