Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo,Kamarde Ali Choki akimpagawisha mpiga gitaa wa bengi yake wakati wa shoo yao iliyofanyika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kiongozi wa wacheza shoo wa Extra Bongo, Super Nyamwela akicheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo, Redo Mauzo (kushoto) akicheza samamba na wacheza shoo wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Muimbanji wa Bendi ya Extra Bongo, Banza Stone akicheza sambamba na wacheza shoo wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:
Post a Comment