hali ya usafiri Barabara ya Makete - Mbeya kupitia kijiji cha Ivalalila bado ni tete, angalia mwenyewe magari yanavyokwama kutokana na ubovu wa barabara uliosababishwa na mvua zinazonyesha hivi Makete,Kwa wale wenye magari yenye 4wheel drive angalau wanapita hivyo hivyo, kwa kupita pembeni kutokana na magari kukwama katikati ya barabara (Picha na Edwin Moshi)
Monday, April 1, 2013

Home
Unlabelled
Barabara ya Makete hali yazidi kuwa tete,magari yakwama
Barabara ya Makete hali yazidi kuwa tete,magari yakwama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment