Wakulima wa Matunda Wilayani Makete Mkoani Njombe wameeleza kuwa Kilimo cha Matunda ya aina ya Apple (sijui kimatumbi yanaitwaje) ni kilimo kisichotumia mbolea wala madawa ya viwandani kama wanavyoonyesha Wakulima hawa katika kijiji cha Ibaga wilayani Makete, kilimo ambacho kimekuwa kikitoa ahueni ya maisha kwa wakulima hao.
No comments:
Post a Comment