HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 5, 2013

WAZIRI WA UCHUKUZI NA NAIBU WAKE WAFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM KUONA ENEO ITAKAPOJENGWA GATI YA 13 na 14

Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo wakati alipotembelea eneo itakapojengwa gati 13 na 14 leo mchana katika bandari ya Dar es Salaam. Mbele yake ni Waziri ni Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Charles Tizeba na Kushoto kwa Waziri Mwakyembe ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari(TPA), Mhandisi Madeni Kipande.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari(TPA), Mhandisi Madeni Kipande akitoa ufafanuzi wa eneo itakapojengwa gati 13 na 14 kwa Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe(mwenye tai nyekundu) na Naibu Wa Waziri wa Uchukuzi, Dkt Charles Tizeba leo mchana wakati Mawaaziri hao walipotembelea eneo hilo kuona maendeleo yake.
Mkuu wa Ulinzi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari(TPA). Bw. Lazaro Twange akiwaonyesha Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Charles Tizeba(aliyeweka mikono mfukoni) eneo ambalo gati ya 13 na 14 itajengwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad