Mamia ya wananchi wakijiandaa kumlaki Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt kupitia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.
Msafara wa Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt ukikaribia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt wakiingia Ikulu huku wakishangiliwa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt na ujumbe wake wakati wa mazungumzo rasmi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtembeza Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo kupanda mti wa kumbukumbu.
No comments:
Post a Comment