Mtaalam wa bidhaa za burudani za Tigo Bi. Pamela Shelukindo akimkabidhi
bw. Harold Hosea kamera ya digitali yenye thamani ya tsh. 800,000
aliyojishindia kwenye promosheni ya Burudani na Tigo
Mtaalam wa bidhaa za burudani za Tigo Bi. Pamela Shelukindo akimkabidhi bw. Meritus Ishaballu kamera ya digitali yenye thamani ya tsh. 800,00 aliyojishindia kwenye promosheni ya Burudani na Tigo(huyo mwenye kofia babu)
Promosheni ya Burudika na Tigo mtumiaji anatakiwa kutuma neno SHINDA,MAWILI,MAPENZI,AKIBA, na IMANI kwenda 15655 anakuwa ameingia kwenye droo ambayo atajishindia kamera ya digitali yenye thamani ya tsh. 800,000

No comments:
Post a Comment