Toka kushoto ni Mdau Shaban Tole (ITV),Josephat Lukaza (Lukaza Blog),Jeff Msangi (Bongo Celebrity Blog),Cathbert Kajuna (Kajunason Blog),Ahmad Michuzi a.k.a Blaza (Jiachie Blog),Mie nanihii (Mtaa kwa Mtaa Blog) pamoja na Alvin Sanga (Bongo5) tulipokutana wikiendi moja kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale.Libeneke Oyeeeee........ maana bila Libeneke hata tusingekutana hivi.
No comments:
Post a Comment