CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO (umri 76) kutoka Argentina ambaye sasa ataitwa Pope Francis.
Waumini wa kanisa la kikatoriki duniani wamepata kiongozi mpya,Baada ya makadinali 16 kukutana katika kikao cha siri na kufanikiwa kumchagua Pope mpya CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO ambaye sasa ATAITWA POPE FRANCIS.
umati wa maelfu ya waumini wa madhehebu ya kikatoliki wamekusanyika katika uwanja wa St.Peter's Square huko Rome wakishangilia baada ya kuona moshi mweupe ukifuka juu kuonyesha ishara ya kuwa Makadinali wamemchagua Pope mpya CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO kutoka Argentina kuliongoza kanisa hilo.



No comments:
Post a Comment