Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Julius Mogore leo wameongoza shughuli za usafi kuzunguka maeneo ya Ikulu jijini Dar es salaam katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Afrika. Siku hiyo itaadhimishwa kitaifa siku ya Jumapili.
Wafanyakazi wa kila kada bila kujali wadhifa wakifanya kazi bega kwa bega kuadhimisha Siku ya Mazingira Afrika kwa kufanya usafi
Kazi ikiendelea kwa tabasamu
Kila mtu alitoka ofisini na kushika ufyagio
Kazi nzuri...
No comments:
Post a Comment