Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama Mh. Anna Abdalah akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Said Mwema pamoja na wajumbe wa kamati hiyo wakikagua ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Upelelezi jijini Dar Es Salaam. Kamati hiyo pia ilitembelea eneo la mradi wa Polisi Ostarbay.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh.Pereila Silima (kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, Ulinzi na Usalama Mh.Anna Abdalah (katikati) na Mkuu wa kitengo cha Miradi ya Maendeleo na Miradi ya Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Sostenes Kondela pamoja na wajumbe wengine wakikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Idara ya upelelezi jijini Dar Es Salaam.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama Mh. Anna Abdalah akipata maelezo
kuhusu ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Upelelezi wakati
kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa jengo hilo unaoendelea
jijini Dar Es Salaam.Kamati hiyo pia ilitembelea eneo la mradi wa Polisi
Ostarbay.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment