Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Walinzi Binafsi nchini (TUPSE) ofisini kwake masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama hicho na wizara yake. Kulia ni Katibu wa Kanda ya Dar es Salaam, Etimas Msamba, Katibu Msaidizi, Oscar Muyeya na Kaimu Katibu Mkuu, Agustino Rupia.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Walinzi Binafsi nchini (TUPSE) ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment