Mtaalam wa ofa za bidhaa za Tigo Bi. Jacqueline Nnunduma
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya kupiga simu kwenda mitandao yote ndani ya nchi kwa bei moja na punguzo la 20% kupiga nje ya nchi, kushoto kwake ni Meneja wa Chapa ya Tigo bw. William Mpinga
Meneja wa Chapa ya Tigo,Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya kupiga simu kwenda mitandao yote ndani ya nchi kwa bei moja na punguzo la 20% kupiga nje ya nchi, kushoto kwake Mtaalam wa ofa za bidhaa za Tigo,Bi. Jacqueline Nnunduma
No comments:
Post a Comment