Meneja mauzo na usambazaji wa Samsung, Syrivester Manyara akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Simu za Samsung Galaxy Music uliofanyika Dar es Salaam jana.
Meneja mauzo na usambazaji wa Samsung, Syrivester Manyara (kulia) akimkabidhi Simu ya Samsung Galaxy Music Mwandishi wa habari wa Clouds Tv ,Rachel Chizoza mara baada ya kushinda droo ilichezeshwa kwa waandishi wa habari wa kike.
Meneja mauzo na usambazaji wa Samsung, Syrivester Manyara (kulia) akimkabidhi Simu ya Samsung Galaxy Music Mwandishi wa habari wa Clouds Tv ,Abdalah Kamelo mara baada ya kushinda droo ilichezeshwa kwa waandishi wa habari wa kiume.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Flora Joseph akielezea ubora wa simu ya Samsung Galaxy Music.
No comments:
Post a Comment