HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2013

Samsung yazindua aina Mpya Viyoyozi (Air Conditioners) jijini Dar leo

 Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa aina mya ya Viyoyozi (Air Conditioners) vya kutoka Kampuni ya Samsung,Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Gregory Teu,akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya Uzinguzi huo wa aina ya Viyoyozi vifahamikavyo kama DVM S (Digital Variable Multi System) iliyofanyika usiku huu katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Kempisk,jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Viyoyozi (Air Conditioners) vya Samsung katika nchi za Afrika Mashariki na Kati,George Kesabo akizungumzia namna walivyojipanga kuhimarisha huduma zao kwa wateja wote wa bidhaa za Samsung wakati wa hafla ya Uzinduzi wa aina mya ya Viyoyozi (Air Conditioners) vya Kampuni hiyo, iliyofanyika usiku huu katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Kempisk,jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Usimamizi wa Vifaa mbali mbali vya Majumbani kutoka Kampuni ya Samsung,Sunny Sharma akifafanua jambo wakato wa hafla hiyo Uzinduzi wa aina mpya ya Viyoyozi (Air Conditioners) viitwavyo DVM S (Digital Variable Multi System) vya Kampuni hiyo, iliyofanyika usiku huu katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Kempisk,jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya UnoCool ambao ni wauzaji wa Viyoyozi hapa nchini,Mohamed Rweyemamu akitoa shurkani zake za uongozi wa Samsung.
 Uongozi wa Samsung,ukimpatia zawadi ya simu aina ya Samsung Galaxy 10.1,Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Gregory Teu mara baada ya kufanyika uzinduzi.
 Burudani ya Ngoma.
 Kiyoyozi (Air Condition) Kipya kikizinduliwa.
 Burudani kabla ya uzinduzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad