HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 31, 2013

Salamu za pasaka toka Jumuiya ya Watanzania Nchini Korea Kusini


Ndugu Wanajumuiya wa TANROK na Watanzania wote,

Kwa niaba ya uongozi - Jumuiya ya Watanzania Nchini Korea Kusini, Tunawatakieni Wanajumuiya na Watanzania wote kokote walipo, kheri, baraka, na fanaka tele kwa kusheherekea sikukuu hii ya Pasaka. Idumishe ishara ya upendo, amani na umoja, na ilete furaha kwa familia zenu, wapendwa wenu, ndugu zenu na jamaa wote.

Tafadhali pitia wavuti yetu www.tanrok.com

HERI YA PASAKA!

Emmanuel Lupilya.

M/Kiti Jumuiya ya Watanzania - Korea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad