Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo kutoka kwa Rais Wa Jamhuri ya
Watu wa China Mhe.Xi Jinping wakati wa makabidhiano ya Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
leo.Ukumbi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya Seriklai ya China na
Tanzania.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Xi Jinping wa China wakishangilia
jambo wakati wa makabidhiano ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wageni waliohudhuria sherehe za
makabidhiano ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo
jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete na Rais wa China Mhe.Xi Jinping wakiangalia picha za
matukio mbalimbali yanayohusu historia ya ushirikiano kati ya China na
Tanzania katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo
wakati wa sherehe za makabidhiano ya ukumbi huo jijini Dar es Salaam
leo.picha na Freddy Maro,Ikulu.
No comments:
Post a Comment