Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wakati wa uzinduzi wa bodi mpya Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Mkurugenzi
Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii ya Jamii (NSSF),Ramadhani Dau
akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Shirika hilo
iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Abubakar Rajabu akitoa neno la shukrani baada ya Waziri wa Kazi
na Ajira, Gaudencia Kabaka (kushoto) alipozindua bodi hiyo. Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ramadhani
Dau.
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF,toka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano,Eunice Chiume,Meneja Kiongozi Kinondoni,Ally Nchula na Meneja Kiongozi Ilala,Delfina Masika.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii ya Jamii (NSSF), Ramadhani Dau mara baada kuzindua bodi mpya ya Shirika hilo.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kulia) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa bodi ya NSSF, Abubakar Rajabu na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF,Abubakar Rajab (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa ATE,Almas Maige (kulia) pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ATE na Mjumbe wa Bodi ya NSSF,Bi. Zuhura Muro.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF,Abubakar Rajab (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa ATE,Almas Maige (kulia) pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ATE na Mjumbe wa Bodi ya NSSF,Bi. Zuhura Muro.
No comments:
Post a Comment