Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akipata maelezo Juu ya Uzalishaji wa Chuma kwa Meneja wa Kiwanda cha Chuma cha Nyakato Steel Bw Ramarao Uppala wakatiNaibu Wazir alipofanya Ziara ya Kuangalia Uchafuzi wa Mazingira Mkoani Mwanza.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akitoa
Maelekezo kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwenye kiwanda cha
Mwatex kinachotiririsha Maji kwenye Makaazi ya Wananchi Wilayani
Ilemela Mkoani Mwanza Kulia Mkurugenzi Rasilimali Watu Bw Evodius
Gordian.
| Naibu Wazir Ofisi ya Makamu waRais Charles Kitwanga akitoa Maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Bi Amina Juma wakati alipotembelea kiwanda cha Mwatex Wilayani Ilemela ambacho kinatiririsha Maji kwenye Makazi ya Wananchi katikati Mkurugenzi wa kiwanda Bw Amin Ladhan wapili Mkurugenzi Rasilimali Watu Bw Evodius Gordian |
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Charles Kitwanga akiangalia
Mfumo wa Maji taka kwenye Kiwanda cha Samaki cha Tanperch Wilayani
Ilemela Mkoani Mwanza Kulia Jeneral Meneja Bw Ashak Vannadil
Picha na Ali Meja

No comments:
Post a Comment