HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 20, 2013

Mbeya,Dar na Mwanza tayari: Sasa ni Zamu ya Arusha na Moshi Safari Lager Nyama Choma

  • Baada ya kufanya vizuri sana katika mikoa ya Mbeya, Dar Es Salaam na Mwanza, Safari Lager inakukaribisha kushuhudia fainali za mwisho katika miji ya Arusha na Moshi weekend hii!!.
  • Kwa Arusha fainali zitafanyika Jumamosi hii tarehe 23 March, katika Kiwanja Cha General Tire, kuanzia saa 4.00asbh. Njoo ushuhudie bar za Arusha zilizoingia fainali zikichuana kukupa Nyama Choma Bomba zaidi;
    • QX Pub  Kijenge.
    • Blue Line Park  Kwa Iddy.
    • VIP Bar  Sekei.
    • Royal Stop Over Bar  Kwa Mrefu.
    • Rombo Deluxe Bar  Tangi La Maji.
  • Kwa Moshi fainali zitafanyika Jumapili hii tarehe 24 March, katika Kiwanja Cha LS Garden  CCM Mkoa, kuanzia saa 4.00asbh. Njoo ushuhudie bar za Moshi zilizoingia fainali zikichuana vikali;
    • River Nile Bar  Double Road.
    • Makanyaga Bar  Soweto.
    • East Africa Pub  Double Road.
    • White Star Bar  Kiusa Road.
    • Seven Eleven Bar  Double Road.
  • Njoo uburudike kwa aina tofauti za nyama choma, kuanzia mapande hadi mishkaki, nyama za Kuku, Ngombe na Mbuzi!!. Chachandu, Kachumbari, pilipili, ndimu nk.. vitakuwepo.
  • Matamasha ya Safari Lager Nyama Choma weekend hii Arusha na Moshi ni BURE, hakuna Kiingilio!.
  • Bila Safari Lager, Nyama Choma Haijakamilika!!..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad