HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2013

MAADHIMISHO YA VITA VYA MAJIMAJI MJINI SONGEA YAFANA SANA

Mheshimiwa  Balozi Hamisi Kagasheki (MB)Waziri wa Maliasili na Utalii akisalimiana na wageni toka Lichinga Msumbiji.
Mhe.Balozi Hamisi Kagasheki (MB)Waziri wa Maliasili na Utalii akiweka Ngao .
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akiweka Sime.
Katika kuwakumbuka Mashujaa waliotangulia mbele za Haki Jeshi la Wananchi limeweka Utaratibu Maalumu ikiwa ni pamoja na kulipua mizinga na Fataki katika kuwakenzi Mashujaa. Picha na Demasho news

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad