HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 22, 2013

Libeneke la Mtaa kwa Mtaa kutokea Makete

Hapo ni katika kijiji cha Ikuwo tarafa ya Ikuwo wilayani makete ambako hakuna mtandao wowote wa simu unaofanya kazi, ila ni kwenye kaeneo haka tu unakokaona ndio mitandao ya simu inakopatikana, hivyo kama mtu anataka kupiga simu, kupokea na kutuma sms au kuingiza vocha basi ni lazima ufike kwenye eneo ili ili uweze maliza mahitaji yako kama unavyoshuhudia mwenyewe wadau hawa wahudumika,hivyo hali hiyo huwalazimu wakazi wengi wa maeneo ya jirani na hapo kufunga safari kutoka watokako na kuja katika eneo hili ili aweze kusubiria simu,sms au kupiga simu.Hivyo wadau wa mitandao ya simu tunaomba msaidie tarafa hiyo ipate mtandao wa mawasiliano hata ya mtandao mmoja tu.
hivi ndivyo linavyoonekana eneo la kijiji hicho cha Ikuwo. PICHA NA EDWIN MOSH,WA MTAA KWA MTAA BLOG - MAKETE.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad