Hapa ni Posta mpya ambapo leo kulikuwa hakupitiki kutokana na mvua babkubwa iliyonyesha kwa takribani nusu siku.
Barabara ya Ohio street nako mambo yalikuwa kama hivi.
Pale dukani kuna Mchele wa Mbeya,lakini ukutaka kuufikia basi lazima upige mbizi.
Wengine walilazikika kushika Moka mkoani ili zisilowe.hapa ni Mwenge jijini Dar.
Wadau wamepaki vyombo vyao ili kupisha mvua iishe.
Hii imekwama,lakini nani wa kushuka??
Chem Chem za Machemba nazo zimefunguak.
Hapa ni njia ya nyuma ya Sayansi,Kijitonyama.
Mkoko wa kina nanihii ukipigwa kibega baada ya kubuma.
Hayaa moja.....mbili.... tatu.... twendeeeeee...
Ilinasa sasa imetoka.
Posta mya.
Mdau haamini kama usafiri hakuna wakati huo.
wanaenda nyumbani.
No comments:
Post a Comment