HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 29, 2013

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa na Muonekano wa Matukio Mbali mbali ya Jijini Dar

 Ubao unaoonyesha maeneo huhimu,uliopo pale Ubungo Mataa.
 Wamachinga wakiwajibika.
 kitu cha ghorofa na digitali kama kawa.
 Anayuu tani kuwahi aendako.
 Maeneo ya Jangwani.
 Magomeni Mapipa.
 Kinondoni Studio kuelekea Mwananyamala
 Nyundozz ishatembezwa kwenye saloon yetu ya kunyolea pale kona ya Victoria na Mwananyamala
Mambo haya jijiji kwetu hapa hata hatuyawazi tena,maana tushayazoea.
Matunda
Duka la bidhaa za kwenye Magari pale njea ya Kiota cha Break Point,Kijitonyama.
Mdau akiudekshia Muhogo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad