| Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katikati akichangia katika harambee ya kikundi cha Habari Group ambao ni waandishi wa Habari waliojikusanya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na pia kuhudumia jamii isiyojiweza.kikundi hicho kinaendeshwa chini ya jumuiya ya kukuza uchumi Ilala 'Jukuila' kikundi hicho kimezinduliwa March 8 na Mlezi wake ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Angella (katikati).Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya Lamada.kushoto ni mratibu wa hafla hiyo Bi, Rabia Bakari. |
No comments:
Post a Comment