Jaji Mkuu wa mashindano ya Safari Lager Nyama Choma, Douglas Sakibu (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu fainali za Safari Nyama Choma Mkoa wa Arusha na Moshi zitakazofanyika mwishoni mwa wiki hii.Kutoka Kulia ni Meneja Mauzo wa Kanda, Kitio Wilderson,Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Meneja wa Kanda ya Kaskazini TBL, Kisiro Msangi.
Friday, March 22, 2013

Home
Unlabelled
fainali za Safari Nyama Choma Mkoa wa Arusha na Moshi sasa mambo safi
fainali za Safari Nyama Choma Mkoa wa Arusha na Moshi sasa mambo safi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment