Tangu ianze biashara ya vigudulia vya maji vilivyotumika (madumu ya maji),imekuwa ni nadra sana kuona au kuviona vidumu hivyo vikiwa vinazagaa zagaa mitaani kama zamani huku wengine wakisema kuwa kutupa vidumu hivyo hovyo sio uchafu bali ni sehemu ya kumhifadhia mtu anaeviokota kama huyu jamaa pichani.

No comments:
Post a Comment