Naibu Mkurugenzi Mkuu wa BancAbc, Misheck Ugaro akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa gofu yaliyodhaminiwa na BancAbc katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana.
Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa BancAbc, Misheck Ugaro akipiga mpira wakati wa
uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa gofu yaliyodhaminiwa na BancAbc
katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana.
Mchezaji
wa Gymkhana Club, Mo Khimji akipiga mpira wakati wa uzinduzi wa
mashindano ya mchezo wa gofu yaliyodhaminiwa na BancAbc katika viwanja
vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment