HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 17, 2013

BALOZI KAMALA AWASIHI WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI KUWEKEZA NCHINI

Balozi wa Tanzania katika eneo la BENELUX, Dk Diodorus Kamala akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi.
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio Uholanzi (TANE), Bw. Musuto wa Chirangi (aliyesimama) akizungumza wakati wa kumkaribisha Balozi Kamala.
Mwenyekiti wa TANE, Bw. Kweba Bulemo (aliyesimama Kulia), akisema machache kabla ya kumkaribisha Mhe. Balozi.
Balozi Dk. Kamala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad