Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akipata maelezo kutoka kwa mjasiriamali wa Krokon Saccos Asha Muhamed jinsi alivyonufaika mkopo wa mfuko wa Vijana kutoka Wizara yake .
Waziri
wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Mh. Dkt. Fenella Mukangara
(mwenye miwani ) leo amepokea taarifa ya kikundi cha Petu Saccos
na kuongea na vijana wa kikundi cha Youth Welding Group cha Sanawari -
Arusha (pichani) alipotembelea na kuangalia jinsi fedha za mfuko wa
vijana zilizotolewa wizara yake zilivyowanufaisha vijana katika
kujikomboa kimaisha na kujiajiri wenyewe.
.Waziri
wa Habari , Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Dkt. Fenella Mukangara
(alivaa miwani ) akiongea na wana Saccos wa Petu kupitia kikundi cha
Youth Welding group cha Sanawari mkoani Arusha leo
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na . Michezo Dkt. Fenella Mukangara
(kushoto)leo akizungumza na Mjasiriamali Martha Yusuph alipotembelea
Soko kuu Saccos Arusha na kuangalia wanufaika wa mikopo ya mfuko wa
vijana uliotolewa na Wizara yake
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara (alievaa miwani) akiongea na wafanyakazi wa TBC na Mafundi wa Star Times leo alipotembelea Njiro mkoani Arusha kuangalia shughuli mbalimbali. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO

kaka ubarikiwe sana kwakutuwekea habari na picha za Arusha endelea kutuwekea habari zaidi za Arusha ubarikiwe sana kazi nzuri big up mimi ni fan wako mkubwa
ReplyDelete