|
Watanzania waliohudhuria tamasha la Feel
the Beat Sub Zero jijini Johanesburg
lililodhaminiwa na bia ya Castle Lite, ambao ni washindi wa kupitia
Castle Lite Facebook – Edger Marumbo (mwenye T shirt nyeusi) akiwa na kaka yake
Christopher Marumbo mwenye t shirt ya blue ya mistari, Mshindi kupitia Choice
FM – Eric Massinda, mwenye T shirt ya njano na miwani, aliyeongozana na rafiki
yake Alex Galinoma, mwenye T shirt ya njano na Caroline Lupilli, aliyevaa koti
nyekundu akiwa na dada yake Ellen Lupilli, mwenye kijaketi cha kijivu wakiwa Air Port kuelekea Afrika kusini.
|
No comments:
Post a Comment