HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 11, 2013

VODACOM WAENDELEA NA PROMOSHENI YA KUWAJUZA WATEJA NA WANANCHI JUU YA KUBORESHA MTANDAO WAO

 Watoa huduma wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom  wakiwahudumia wateja eneo la Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam jana wakati Vodacom Tanzania walipokuwa wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote Tanzania.
Sehemu ya wananchi walijitokeza karibu na gari la matangazo la kampuni ya mawasiliano ya Vodacom   eneo la Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam jana wakati wa zoezi la kugawa laini na kuwasajili wateja papo hapo pia kuwawezesha kutumi huduma ya M-PESA.

 Mtoa huduma wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom  akimwelekeza jambo  mteja eneo la Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam jana wakati Vodacom Tanzania walipokuwa wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote Tanzania.

Mtoa huduma wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Najma Rashid akiwahudumia wateja eneo la Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam jana wakati Vodacom Tanzania walipokuwa wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad