HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 1, 2013

ECOBANK WAJA NA HUDUMA BILA KUFIKA MATAWINI

Mshauri wa maswala ya mahusiano wa Ecobank, Daisy Mumbi akiwatambusha wakurugenzi kwa waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari.
 Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binafsi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akisisitiza jambo katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam Januari 31, alipoongea nao kuhusu upatikanaji wa huduma za kibenki bila kufika matawini nchini Tanzania Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo nchini, Enoch Osei-Safo na Mkuu wa Wateja wa binafsi na Wajasiriamali wa benki hiyo, Joyce Malei.
Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binansi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akiwa pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo wakielekea kwenye warsha iliyofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam Januari 31 2013.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad