HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 9, 2013

Chem Chem hii haiwezekani kusshughulikiwa??

Katika pita pita zangu za kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa linaendelea kusonga,nikajikuta mitaa hii na kukuta chem chem hii imefurika huku kukiwa hakuna mtu anaehangaika na chem chem hiyo,sasa sijui ndio wameigomea au hawataki tu kuishughulikia?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad