HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 27, 2013

Boda Boda zinazokwepa kodi zaanza kudakwa jijini Dar

 Maafisa wa TRA wakishirikiana na Askari Polisi jijini Dar es Salaam,leo wamefanya msako mkali na kufanikiwa kuzikamata Pikipiki zinazofanya biashara ya kupakia abiria maarufu kama Bodaboda ambazo zilikuwa zikikatika mtaa wa Aggrey jijini Dar es Salaam na kuzipakia kwenge magari na kwenda nazo sehemu husika ili muhusika aweze kuzilipia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad