Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa leo Februari 21, 2013. Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita 10.1 inaanzia makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Bagamoyo hadi njia panda ya kwenda Africana karibu na uwanja wa kulenga shabaha wa JWTZ Mbezi Beach.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia,huku akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt, John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda wakati akizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la barabara ya Old Bagamoyo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Vifijo na nderemo baada ya uzinduzi huo.

Vifijo na nderemo baada ya uzinduzi huo.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akienda kutoa hotuba yake
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Waheshimiwa Madiwani wa Kinondoni katika hafla hiyo
MC Ephraim Kibonde akiwa kazini
Sehemu
ya barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment